Kiakpes
Kiakpes ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waakpes. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kiakpes imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiakpes iko katika kundi la Kibenue-Kongo.
Viungo vya nje
hariri- makala za OLAC kuhusu Kiakpes Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiakpes katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ibe
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiakpes kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |