Kiakuku ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waakuku. Idadi ya wasemaji wa Kiakuku haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiakuku iko katika kundi la Kiedoidi linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiakuku kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.