Kialaba (pia Kialaba-K'abeena) ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Waalaba na Wak'abeena. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kialaba imehesabiwa kuwa watu 111,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kialaba iko katika kundi la Kikushi.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kialaba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.