Kialege
Kialege ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waalege. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kialege imehesabiwa kuwa watu 1200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kialege iko katika kundi la Cross River.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kialege kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kialege Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2013 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kialege katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/alf
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kialege kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |