Kiali
Kiali ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Waali. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kiali imehesabiwa kuwa watu 35,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiali iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiali kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiali Archived 23 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiali katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/aiy
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |