Kiama au Kinyimang ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Waama. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kiama imehesabiwa kuwa watu 70,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiama iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiama (Sudan) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.