Kiambae-Magharibi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Waambae kwenye kisiwa cha Ambae. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiambae-Magharibi imehesabiwa kuwa watu 8700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiambae-Magharibi iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiambae-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.