Kiambo
Kiambo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waambo. Idadi ya wasemaji wa Kiambo imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiambo iko katika kundi la Kitivoidi linalofanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiambo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiambo Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiambo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/amb
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiambo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |