Kiamo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waamo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiamo imehesabiwa kuwa watu 12,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiamo iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiamo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.