Kianaang
Kianaang ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waanaang. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kianaang imehesabiwa kuwa watu 1,400,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kianaang iko katika kundi la Cross River.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kianaang kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kianaang Ilihifadhiwa 29 Oktoba 2014 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kianaang katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/anw
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kianaang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |