Kianca ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waanca. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kianca imehesabiwa kuwa watu 300 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kianca iko katika kundi la Kibantoidi linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kianca kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.