Kiandi
Kiandi ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi inayozungumzwa na Waandi. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiandi imehesabiwa kuwa watu 5800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiandi iko katika kundi la Kiandiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiandi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiandi Archived 10 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiandi katika Glottolog
- lugha ya Kiandi kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiandi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |