Kianfillo ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Waanfillo. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kianfillo imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kianfillo iko katika kundi la Kiomotiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kianfillo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.