Kiapali ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waapali. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiapali imehesabiwa kuwa watu 980. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiapali iko katika kundi la Kiwanang.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiapali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.