Kiarammba
Kiarammba (pia Kiserki au Kiserkisetavi) ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waarammba. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiarammba imehesabiwa kuwa watu 970. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiarammba iko katika kundi la Kipapua ya Kusini-Katikati.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiarammba kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiarammba Ilihifadhiwa 9 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiarammba katika Glottolog
- lugha ya Kiarammba kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiarammba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |