Kiarapesh cha Bumbita
Kiarapesh ya Bumbita ni lugha ya Kitorricelli nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waarapesh. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiarapesh ya Bumbita imehesabiwa kuwa watu 4340, ingawa idadi ya Warapesha wa Bumbita ni 8680, yaani nusu yao wameshasahau lugha yao na kutumia lugha nyingine. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiarapesh ya Bumbita iko katika kundi la Kiarapesh.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiarapesh ya Bumbita kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiarapesh ya Bumbita Ilihifadhiwa 9 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiarapesh ya Bumbita katika Glottolog
- lugha ya Kiarapesh ya Bumbita kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiarapesh cha Bumbita kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |