Kiarbore ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Waarbore. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kiarbore imehesabiwa kuwa watu 4440. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiarbore iko katika kundi la Kikushi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiarbore kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.