Kiarchi
Kiarchi ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi inayozungumzwa na Waarchi. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiarchi imehesabiwa kuwa watu 970. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiarchi iko katika kundi la Kilezgiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiarchi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiarchi Archived 9 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiarchi katika Glottolog
- lugha ya Kiarchi kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiarchi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |