Kiaringa ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Uganda inayozungumzwa na Waaringa. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiaringa imehesabiwa kuwa watu 589,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaringa iko katika kundi la Kimoru-Madi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaringa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.