Kiaskopan ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waaskopan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kiaskopan imehesabiwa kuwa watu 1200. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiaskopan iko katika kundi la “North Bougainville”.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaskopan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.