Kiauyokawa

Kiauyokawa ilikuwa lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria iliyozungumzwa na Waauyokawa. Hakuna wasemaji wa Kiauyokawa waliobaki mpaka sasa, maana yake lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiauyokawa iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiauyokawa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.