Kiawak ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waawak. Mwaka wa 1995idadi ya wasemaji wa Kiawak imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiawak iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiawak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.