Kiawara ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waawara. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiawara imehesabiwa kuwa watu 1900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiawara iko katika kundi la Kifinisterre.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiawara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.