Kiawngi ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Waawngi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiawngi imehesabiwa kuwa watu 500,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiawngi iko katika kundi la Kikushi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiawngi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.