Kiayta cha Sorsogon

Kiayta ya Sorsogon ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waayta. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiayta ya Sorsogon imehesabiwa kuwa watu 15 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiayta ya Sorsogon iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiayta cha Sorsogon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.