Kiazhe
Kiazhe ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wayi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiazhe imehesabiwa kuwa watu 54,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiazhe iko katika kundi la Kingwi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiazhe kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiazhe Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiazhe katika Glottolog
- lugha ya Kiazhe kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiazhe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |