Kiazi ni sehemu ya mzizi wa mmea ambayo imekua nene na inahifadhi chakula cha mmea. Mifano ni kiazi kitamu, kiazi kikuu, kiazi cha kizungu na karoti.

Viazi mbatata

Kiazi kisichanganywe na tunguu ambalo ni sehemu ya shina.