Tunguu (mmea)
Tunguu ni sehemu ya shina la mimea fulani ilio na majani manene kwa umbo wa gamba yanayohifadhi chakula. Mifano ni kitunguu, kitunguu saumu na matunguu ya mimea mingine ya ngeli Monocots. Tunguu ni tofauti na kiazi ambacho ni sehemu ya mzizi.
Picha
hariri-
Kitunguu kilichokatika juu chini
-
Matunguu ya kitunguu saumu (Allium sativum)
-
Matunguu ya tulipa (Tulipa sp.)
-
Tunguu la amarili (Amaryllis belladonna)
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tunguu (mmea) kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |