Kibagvalal
Kibagvalal ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi inayozungumzwa na Wabagvalal. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kibagvalal imehesabiwa kuwa watu 1450. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibagvalal iko katika kundi la Kiandiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibagvalal kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibagvalal Archived 23 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibagvalal katika Glottolog
- lugha ya Kibagvalal kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibagvalal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |