Kibainouk-Gunyaamolo

Kibainouk-Gunyaamolo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal inayozungumzwa na Wabainouk. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kibainouk-Gunyaamolo imehesabiwa kuwa watu 6220. Pia kuna wasemaji 26,300 walio wakimbizi au wahamiaji nchini Gambia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibainouk-Gunyaamolo iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibainouk-Gunyaamolo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.