Kibainouk-Samik
Kibainouk-Samik ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal inayozungumzwa na Wabainouk. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kibainouk-Samik imehesabiwa kuwa watu 1850. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibainouk-Samik iko katika kundi la Kiatlantiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kisamik kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisamik Ilihifadhiwa 2 Juni 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kisamik katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bcb
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibainouk-Samik kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |