Kibaiso ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wabaiso. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kibaiso imehesabiwa kuwa watu 1010. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibaiso iko katika kundi la Kikushi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibaiso kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.