Kibalanta-Ganja
Kibalanta-Ganja ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal inayozungumzwa na Wabalanta. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kibalanta-Ganja imehesabiwa kuwa watu 82,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibalanta-Ganja iko katika kundi la Kiatlantiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiganja kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiganja Ilihifadhiwa 11 Septemba 2014 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiganja katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bjt
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibalanta-Ganja kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |