Kibalanta-Kentohe
Kibalanta-Kentohe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea-Bisau na Gambia inayozungumzwa na Wabalanta. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kibalanta-Kentohe nchini Guinea-Bisau imehesabiwa kuwa watu 397,000. Pia kuna wasemaji 26,000 katika nchi nyingine za jirani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibalanta-Kentohe iko katika kundi la Kiatlantiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibalanta kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibalanta Ilihifadhiwa 11 Septemba 2014 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibalanta katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ble
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibalanta-Kentohe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |