Kibambassi ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wabambassi. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kibambassi imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibambassi iko katika kundi la Kiomotiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibambassi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.