Kibanaro ni lugha ya Kiramu na Kisepik ya Chini nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wabanaro. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kibanaro imehesabiwa kuwa watu 2480. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibanaro iko katika kundi la “Grass”. Wengine huiangalia kuwa lugha pekee, na siyo ndani ya familia ya Kiramu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibanaro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.