Kibanda-Banda
Kibanda-Banda ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na Sudan Kusini inayozungumzwa na Wabanda. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kibanda-Banda nchini Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 102,000. Pia kuna wasemaji wachache nchini Sudan Kusini. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibanda-Banda iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibanda kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibanda Ilihifadhiwa 22 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibanda katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bpd
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibanda-Banda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |