Kibanda-Magharibi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na Sudan Kusini inayozungumzwa na Wabanda. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kibanda-Magharibi nchini Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 4500. Pia kuna wasemaji 3000 nchini Sudan Kusini (1982). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibanda-Magharibi iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibanda-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.