Kibanda-Mbres
Kibanda-Mbres ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wabanda. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kibanda-Mbres imehesabiwa kuwa watu 42,500. Pia kuna wasemaji wachache nchini Sudan Kusini. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibanda-Mbres iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimbres kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimbres Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimbres katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bqk
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibanda-Mbres kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |