Kibanda-Togbo-Vara

Kibanda-Togbo-Vara ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Sudan Kusini inayozungumzwa na Wabanda. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kibanda-Togbo-Vara nchini Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 12,000. Pia nchini Kongo kuna wasemaji 12,000. Idadi ya wasemaji nchini Sudan Kusini haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibanda-Togbo-Vara iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibanda-Togbo-Vara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.