Kibanda-Kusini
(Elekezwa kutoka Kibanda ya Kusini (lugha))
Kibanda ya Kusini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wabanda. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kibanda ya Kusini nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 150,000. Pia kuna wasemaji 3000 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibanda ya Kusini iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibanda cha Kusini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibanda cha Kusini Archived 23 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibanda cha Kusini katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/lnl
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibanda-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |