Kibaram (au Kibaraamu) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wabaram. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kibaram imehesabiwa kuwa watu 160 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibaram iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibaram kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.