Kibariji (pia Kiaga-Bereho) ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wabariji. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibariji imehesabiwa kuwa watu 460. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibariji iko katika kundi la Kiyareban.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibariji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.