Kibasa
Kibasa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabasa. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kibasa imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibasa iko katika kundi la Kikainji.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibasa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibasa Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibasa katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bzw
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibasa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |