Kibasay ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan iliyozungumzwa na Wabasay. Hakuna Wabasay siku hizi ambazo wangeweza kuongea lugha ya Kibasay, yaani lugha yao imetoweka kabisa, ila kuna wazee wachache ambao wanakumbuka maneno machache. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibasay iko katika kundi la Kiformosa-Mashariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibasay kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.