Kibasketo
Kibasketo ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wabasketo. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kibasketo imehesabiwa kuwa watu 57,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibasketo iko katika kundi la Kiomotiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibasketo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibasketo Ilihifadhiwa 2 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibasketo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bst
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibasketo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |