Kibaygo kilikuwa lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan iliyozungumzwa na Wabaygo. Mwaka wa 1978 idadi ya Wabaygo imehesabiwa kuwa watu 850 lakini hakuna wasemaji hai wa lugha hiyo. Lugha ya Kibaygo imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibaygo iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibaygo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.