Kibeami
Kibeami ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wabeami. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kibeami imehesabiwa kuwa watu 4200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibeami iko katika kundi la Kibosavi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibeami kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibeami Ilihifadhiwa 16 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibeami katika Glottolog
- lugha ya Kibeami kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibeami kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |