Kibedik ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal inayozungumzwa na Wabedik. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kibedik imehesabiwa kuwa watu 3380. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibedik iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibedik kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.