Kibeele
Kibeele ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabeele. Lugha ni tofauti na Kibole. Mwaka wa 1922 idadi ya wasemaji wa Kibeele imehesabiwa kuwa watu 120 tu. Haijulikani idadi imeendeleaje katika karne tangu mahesabu hayo ya kwanza. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibeele iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibeele kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibeele Ilihifadhiwa 27 Mei 2014 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibeele katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bxq
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibeele kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |